Deuteronomy 16:15

15 aKwa siku saba mtaiadhimisha sikukuu ya Bwana Mwenyezi Mungu wenu katika mahali atakapopachagua Bwana. Kwa kuwa Bwana Mwenyezi Mungu wenu atawabariki katika mavuno yenu na katika kazi zote za mikono yenu na furaha yenu itakamilika.

Copyright information for SwhKC